Monday, September 9, 2013

Coming soon: Tema Mate Tumchape - MadeeIkiwa bado wimbo "Sio Mimi" a.k.a Pombe Yangu unafanya vizuri sana masikioni mwa watu na hata katika shows mbali mbali anazozifanya, Madee anatarajia kudondosha mkono mwingine kutoka kwa producer Macochali, MjRecords

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Erana Network Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine