ASKARI WA WANYAMA PORI WAKIWA WANALINDA PEMBE ZA NDOVU
HIZI NDIZO PEMBE ZA NDOVU ZIKIWA TAYARI KWA AJILI YA MAADHIMISHO HAYO , HIKI NI KIELELEZO CHA SIKU YA TEMBO
BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WAKIJIANDAA NA MAANDAMANO HAYO YA SIKU YA TEMBO
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA TAYARI KWA AJILI YA SIKU YA TEMBO KITAIFA
MMOJA YA WADAU AKIWA ANAPATA PICHA NA PEMBE ZA NDOVU
WADAU MBALIMBALI WAKIWA WANAJIANDAA NA MAANDAMANO KUELEKEA MLIMANI CITY.
Msanii mkongwe wa nyimbo za asili Mrisho Mpoto akiwa tayari kwa kuanza maandamano hayo ya siku ya Tembo
Maandamano yakiwa yanaendelea kuelekea Mlimani city kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam.
Mwanamuziki wa Ngoma za Asili Mrisho Mpoto akiwa katika siku ya Tembo Kitaifa
Safari inaendelea kuelekea Mlimani City kuhudhulia siku ya Tembo kitaifa
Wadau mbalimbali wakiwa wanaendelea na maandamano huku wakiimba nyimbo mbalimbali ambazo zinapinga ujangili juu ya mapambano dhidi ya ujangili huo.
Nyoka aina ya Chatu akiwa na vijana wa Mrisho Mpoto katika kufanikisha siku ya Tembo kitaifa
Maandamano yakiwa yanaingia katika ukumbi wa Mlimani city
udani ya Nguvu ikiwa inaendelea wakati wa maadhimisho ya siku ya Tembo kitaifa.
Baadhi ya viongozi wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Tembo Kitaifa
Wadau mbalimbali wakiwa katika Siku ya Tembo Tanzania
Mkuu wa IRA Prof. Amos Majule akizungumza jambo katika siku ya Tembo kitaifa.
Depute vice chancellor wa Chuo kikuu cha Dar es salaam Prof. Maboko akitoa hotuba yake
Mgeni Rasmi akiwa anatoa hotuba yake
Wanafunzi wakifuatilia kwa umakini siku ya Tembo kitaifa
Burudani maalum inaendelea kwa ajili ya siku ya Tembo
Baadhi ya wadau mbalimbali wakiwa wanapata burudani
Kila mmoja yupo na Furaha
Bado kila mtu yupo na Furaha wakati wa Siku ya Tembo
Viongozi Mbalimbali katiaka Picha ya pamoja
Picha ya pamoja baada ya kuhitimisha siku ya Tembo kitaifa Tanzania
0 comments:
Post a Comment