Thursday, September 5, 2013

PICHA ZA TUKIO ZIMA LA MAMA ALIYEKAMATWA NA KETE 99 ZA MADAWA YA KULEVYA JK NYERERE AIRPORT.

Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya akiwa chini ya ulinzi.
Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo (25) kukamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya dar es salaam leo.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo ambapo anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi wakati kete hizo zimepelekwa kwa ofisi ya Mkemia Mkuu kwa uchunguzi zaidi.


Anthonia Ojo akiwasili kituo cha polisi cha JNIA baada ya kukamatwa
Hati yake ya kusafiria
Begi lilibebewa madawa
Juu na chini ni Anthonia Ojo akitoa madawa alikokua amyaficha kwenye mikebe ya poda na shampuu

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine