Naibu Waziri wa umeme, Mh George Simbachawene, amesema kwamba serikali imekubali TANESCO waongeze gharama za umeme kwa 68% kama walivyokuwa wameomba.
Simbachawene ameitoa kauli hiyo wakati akiongea katika kipindi cha Kumepambazuka kupitia Radio One leo asubuhi.
Amesema
kwamba hata kama TANESCO wakiongeza gharama za umeme hadi kufikia Tsh
800 kwa unit bei hiyo ni nafuu kuliko gharama za kununua mafuta ya taa.
Mh Simbachawene ametahadharisha kwamba kama mtu ataona kwamba gharama za umeme ni kubwa, basi akawashe kibatari au akae gizani.
Source: Jamiiforum via Kumepambazuka, Radio One.
Mh Simbachawene ametahadharisha kwamba kama mtu ataona kwamba gharama za umeme ni kubwa, basi akawashe kibatari au akae gizani.
Source: Jamiiforum via Kumepambazuka, Radio One.
Read more: http://habarizetuleo.blogspot.com/2013/11/hatimaye-serikali-yabariki-tanesco.html#ixzz2lj0RL8aL
3 comments:
Pata habari za udaku na skendo kwenye mtandao huu udaku bofya neno udaku
Bofya hapa soma udaku kila siku udaku
mh kaaaaaaaaz kwel kwel
Post a Comment