Sunday, April 15, 2012

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KTMA HIYO JANA


Mwanamuziki Ali Kiba akitoa shukuranbi zake kwa mashabiki wa muziki  mara baada ya kutangazwa mshindi katika tuzo za muziki za Kilimanjaro Music Award zinazofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam ambapo ameshinda kwa wimbo wake unaoitwa Dushelele


Kundi la THT likitumbuiza katika tuzo hizo.
                  LUIZA MBUTU KIONGOZI AFRICAN STARS-WIMBO BORA WA KISWAHILI.
                              Isha Mashauzi akiwa na tuzo ya Wimbo Bora wa taarab.
                                  H BABA AKIWA NA MCHUMBA WAKE  FLORA MVUNGI
 Queen Darin akiwashukuru mashabiki waliompigia kura.
 

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine