Monday, September 3, 2012

HIZI NI PICHA NYINGINE ZA DIAMOND PLATINUM AKIWA WASHINGTON DC NCHINI MAREKANI

Diamond na dancer wake wakiwa washington dc nchini marekani baada ya kuwasili jana hapo wakipata chakula cha mchana.
 Diamond wa wasafi akiwa mazoezini nchini marekani.
Diamond platinDiamond wa wasafi akiwa mazoezini nchini marekani.umgton DC.
Diamond mazoezini.
Diamond akiwa ana swimming na dancer wake Washington DC nchini marekani.
Diamond platinum akiwa na dancer wake wana furaha baada ya kushindana kukaa ndani ya maji kwa muda mrefu.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine